Jeremiah 15:13

13 aUtajiri wako na hazina zako nitavitoa kuwa nyara,
bila gharama,
kwa sababu ya dhambi zako zote
katika nchi yako yote.
Copyright information for SwhNEN